Ukosefu wa ajira rasmi waathiri maendeleo ya Vijana Senegal

  • | VOA Swahili
    26 views
    Nchini Senegali, vijana wengi waliohitimu wanakabiliwa na changamoto katika kupata kazi zinazolingana na nyanja ya masomo yao au historia ya kitaalum. Baadhi walilazimika kufanya kazi ya uchukuzi kutokana na majukumu na mahitaji.