Ukosefu wa maji Eswatini wababisha changamoto kwa wanawake

  • | VOA Swahili
    68 views
    Asilimia 25 ya miji ya maeneo ya mashambani nchini Eswatini haina maji safi ya kunywa, kulingana na shirika la hisani la miradi ya maji la WaterAid. Na asilimia 40 ya miji hii haina maji kabisa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.