Ukosefu wa mfumo wa mawasiliano ni kikwazo kwa haki za mtoto kaunti ya Garissa

  • | Citizen TV
    218 views

    Ukosefu wa ujumbe mwafaka wa kuelezea jinsi ya kukabiliana na dhulma za watoto miongoni mwa jamii katika kaunti ya Garissa imetajwa kama kizingiti kikubwa katika vita dhidi ya unyanyazaji wa haki za watoto.