Skip to main content
Skip to main content

Ukosefu wa ufadhili watajwa kuwa kikwazo kwa utafiti na ubunifu

  • | Citizen TV
    198 views
    Duration: 2:12
    Huku ulimwengu ukiendelea kukumbatia teknolojia na ubunifu ili kukabiliana na changamoto zinazoibuka katika jamii, ukosefu wa ufadhili wa kutosha umesalia kikwazo kikubwa zaidi kinachozuia utafiti na ubunifu huo kuingia kwa jamii.