Ukosefu wa usalama Bahari ya Shamu kuathiri usambazaji wa chakula Ramadhani
Ukosefu wa usalama katika Bahari ya Shamu kutokana na mashambulizi ya makundi ya Houthi kwa meli umetatiza uwasilishaji wa bidhaa kwa maeneo ya Afrika Mashariki, hali ambayo inatishia kuongeza gharama ya Maisha katika eneo hili.
Hali hii imeleta ongezeko la bei za bidhaa, ikiwemo vyakula muhimu katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Waislamu kama vile tende
Peter Mwangangi ametembelea mji wa Mombasa katika pwani ya Kenya, ambapo anaangazia hali ilivyo miezi miwili baada ya mashambulio ya Houthi kuanza.
#bbcswahili #kenya #mwezimtukufu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- The CS has been receiving criticism over the remarks he made over the weekend.
18 Aug 2025
- Customary marriages are popular in Kenya.
18 Aug 2025
- The MP claims that this might happen before the end of the year.
18 Aug 2025
- The county government of Machakos has announced that it is ready to negotiate with nurses to end the ongoing strike.
18 Aug 2025
- The county government of Machakos has announced that it is ready to negotiate with nurses to end the ongoing strike.
18 Aug 2025
- National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has urged residents of Rift Valley to rally behind President William Ruto in his bid for a second term, arguing that his performance has dwarfed that of his predecessors.
18 Aug 2025
- Five suspects are awaiting arraignment after being found in possession of bhang and other stolen items after a crackdown in Kakamega.
18 Aug 2025
- The CS has been receiving criticism over the remarks he made over the weekend.
18 Aug 2025
- The agreement was signed on Friday, August 15, at the county secretary’s office following several days of consultative meetings.
18 Aug 2025
- Lomurkai has urged all residents to register with SHA in order to enjoy quality healthcare at all county hospitals
18 Aug 2025
- “I totally agree that we should give the President his flowers,” Mohammed said
18 Aug 2025
- Single motherhood is often a journey filled with challenges, resilience, and strength. In Kenya, several well-known celebrities have
18 Aug 2025
- In Egypt's Wadi al-Gemal, where swimmers share a glistening bay with sea turtles, a shadowy tourism deal is threatening one of the Red Sea's last wild shores.