8 Jul 2026 1:25 pm | Citizen TV 150 views Duration: 2:44 Uhalifu wa matumizi ya mapanga na tatizo la unyakuzi wa ardhi za shule ni miongoni mwa changamotio zinazokabili shule nyingi za kisiwa cha Pate Lamu mashariki.