Ukosefu wa Visodo unavyoathiri afya ya watoto wasichana kwa maeneo ya mabanda

  • | West TV
    76 views
    Wasichana wengi katika maeneo ya Mabanda wamelazimika kutafuta mbinu ya kusaka visodo licha ya serikali kuwa na mradi wa kusambaza vitambaa hivyo shuleni ili kuwafaa Wanafunzi. Je, waliomaliza kisomo bila ajira wanajipanga vipi?