Ukosefu wa wanafunzi katika vyuo Garissa umeibua maswali

  • | Citizen TV
    442 views

    Jitihada za viongozi wa Kaskazini Mashariki kutatua suala laukosefu wa wanafunzi katika vyuo vya maeneo hayo kutokana na walimu kutafuta uhamisho kwasababu ya masuala ya kiusalama, zinaonekana kuzaa matunda baada ya idadi kubwa ya wanafunzi kusajiliwa kujiunga na vyuo vya walimu eneo hilo.