Ukuaji wa biashara ya kuwasilishia wateja mboga na matunda nyumbani mwao

  • | BBC Swahili
    Katika makala haya ya BBC Biashara Bomba, tunaangazia ukuaji wa biashara ya kuwasilisha mboga na matunda nyumbani kwa wateja nchini Nigeria wakati wa Covid-19. #bbcswahili #biashara #Nigeria