8 Sep 2025 12:18 pm | Citizen TV 434 views Duration: 27:13 Watalaamu wa uchumi wasema hali haijabadilika pakubwa Baadhi ya wananchi walalamika gharama haijapungua Wafanyibiashara wadogo wadogo wasema hali sio nzuri Ripoti za Serikali zaashiria kupanda kwa vipimo va GDP