8 Sep 2025 12:52 pm | Citizen TV 1,401 views Duration: 26:38 Watalaamu wa uchumi wasema hali haijabadilika pakubwa Baadhi ya wananchi walalamika gharama haijapungua Wafanyibiashara wadogo wadogo wasema hali sio nzuri Ripoti za Serikali zaashiria kupanda kwa vipimo va GDP