8 Sep 2025 1:10 pm | Citizen TV 267 views Duration: 14:38 Watalaamu wa uchumi wasema hali haijabadilika pakubwa Baadhi ya wananchi walalamika gharama haijapungua Wafanyibiashara wadogo wadogo wasema hali sio nzuri Ripoti za Serikali zaashiria kupanda kwa vipimo va GDP