| UKUMBI | Uhuru wa Wanahabari [Part 4]

  • | Citizen TV
    1,403 views

    Siku ya kimataifa ya uhuru wa wanahabari ni mwei 3 Wanahabari bado wanakumbana na changamoto kazini Ukandamizaji, vitisho na sera ni kati ya changamoto kuu Wanahabari nchini wamevamiwa na kupigwa na polisi Sera mpya ya matangazo ya serikali imeathiri matangazo Kumekuwa na msukumo kutaka haki kamili za wanahabari