Ukumbi: Uvumbuzi na ubunifu nchini (part 2)

  • | Citizen TV
    39 views

    NI SEKTA AMBAYO INAKUWA KWA KASI ZAIDI HAPA KENYA VIJANA WENGI WAMEKUWA WAKIVUMBUA VITU MBALIMBALI PIA KUNA WALE WANAOBUNI HUDUMA KUTUMIA MITANDAO NAFASI YA UVUMBUZI NA UBUNIFU NCHINI NI IPI KWA SASA? JE, SERIKALI IMEKUWA IKIUNGA VYEMA MKONO UVUMBUZI? WANAOVUMBUA NA KUBUNI VITU WALALAMIKIA CHANGAMOTO