Ukumbusho wa shambulio la Westgate

  • | K24 Video
    54 views

    Leo ni muongo mmoja tangu shambulizi la Westgate kutokea nchini na waathiriwa bado wanakumbuka matokeo ya siku hiyo. Eleen Montet Shollei ambaye alikuwa mmoja wa waliokuwa ndani ya jumba hilo, anakumbuka vyema aliyoshuhudia tarehe 21 mwezi wa septemba mwaka wa 2013 na jinsi yalivyobadili maisha yake.