Ukur Yatani na gavana wa Marsabit Mohammed wahojiwa kuhusiana na ubadhirifu wa bilioni 8.2

  • | KBC Video
    29 views

    Aliyekuwa waziri wa fedha Ukur Yattani na gavana wa kaunti ya Marsabit, Ali Mohammud Mohammed wamehojiwa kuhusiana na madai ya kufuja shilingi bilioni 8.2, pesa za serikali ya kaunti ya Marsabit. Yattani alikamatwa leo asubuhi na maafisa wa upelelezi wa tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi. Maafisa hao pia walitwaa kompyuta, stakabadhi na sefu mbili kutoka kwa makao ya Yattani walizodai zilikuwa na stakabadhi muhimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive