Ukusanyaji ushuru yameziba mianya ya ukwepaji kulipa ushuru na kupanua wigo wa ushuru

  • | KBC Video
    4 views

    Mabadiliko ya kina kwenye halmashauri ya Ukusanyaji ushuru yameziba mianya ya ukwepaji kulipa ushuru na kupanua wigo wa ushuru kuambatana na ajenda ya maendeleo ya Rais Uhuru Kenyatta kwa manufaa ya mwananchi. Ukusanyaji ushuru umeongezeka tangu mwaka 2013 huku halmashauri hiyo ikitumia teknolojia ya kisasa katika utekelezaji wa majukumui yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #ushuru #ukusanyaji #kulipa