27 Feb 2026 2:10 pm | Citizen TV 377 views Duration: 1:50 Serikali kupitia wizara ya michezo imeombwa kuwekeza katika kutafuta talanta mashinani kama njia mojawapo ya kukuza talanta na kuimarisha ajira miongoni mwa vijana.