Ulaguzi wa Misandali

  • | KBC Video
    8 views

    Miti aina ya msandali ya thamani ya shilingi milioni mbili iliteketezwa nje ya mahakama ya kuu ya Maralal kutokana na agizo la mahakama hiyo. Akiongoza shughuli hiyo, naibu kamishna wa eneo hilo Jackson Mutiso aliwatahadharisha wakazi dhidi ya ukataji msandali katika msitu wa Kirisia. Hata hivyo wakazi hao walitoa wito kwa serikali kuwapa leseni ya kukata na kuuza miti ya msandali iliyokomaa kwenye mashamba yao ili wapate riziki kwani mifugo waliokuwa wakitegemea kwa pato lao iliangamizwa na kiangazi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive