Ulimwengu asema kuanzishwa kumbukumbu ya kidigitali kunasadifu utaratibu wa Dr Salim Ahmed Salim

  • | VOA Swahili
    448 views
    Jenerali Ulimwengu mwandishi na mwanasheria nchini Tanzania anasema kuanzishwa kwa kumbukumbu ya kidigitali ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi huru Barani Afrika OAU na Waziri Mkuu wa Tanzania Salim Ahmed Salim kunasadifu utaratibu wa kiongozi huyu maarufu. Sikiliza yale ambayo Ulimwengu aliyaona katika mafaili hayo. Endelea kusikiliza... #jeneraliulimwengu #mwanasheria #tanzania #kumbukumbu #kidigitali #katibumkuu #umojawanchihuru #afrika #salimahmedsalim #wazirimkuu #voa #voaswahili #wakili #mwandishi - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.