- 460 viewsDuration: 4:59Huku ulimwengu unapoadhimisha wiki ya kuhamasisha umma kuhusu afya ya akili, washikadau mbalimbali kutoka sekta mbalimbali ya afya pamoja na wanaharakati wameandaa matembezi maalum katikati ya mji wa Kisii kwa lengo la kutoa mafunzu kuhusu jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo.