Ulingo wa Siasa

  • | KBC Video
    Naibu rais William Ruto amesisitiza kwamba harakati inayoendelea ya mageuzi ya katiba imekwamisha agenda ya maendeleo. Ruto amesema badala yake serikali inapaswa kuweka bidi kuwapa uwezo wasiojiweza katika jamii. Kwengineko katika kaunti ya Machakos gavana Alfred Mutua amemshtumu kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka kwa kile alichosema ni kutumia watu wa Machakos kumdhalilisha aliyekuwa seneta wa kaunti hiyo Johnston Muthama Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive