Ulinzi mkali waimarishwa karibu na bunge na Ikulu ya Nairobi
Waandamanaji wamejitokeza barabarani kote nchini Kenya hii leo huku hasira ikiongezeka kuhusu
mapendekezo ya muswada wa sheria ya fedha 2024 ya serikali kuongezwa ushuru.
-
Kuna ulinzi mkali karibu na bunge na Ikulu ya Nairobi, ambapo maandamano makubwa zaidi yanatarajiwa kufanyika.
-
Maandamano hayo yameongozwa na kizazi cha vijana cha 'Gen Z' nchini Kenya, wakimtaka Rais William Ruto aondoe kodi wanayoona kama adhabu.
-
Watu wawili walifariki katika maandamano sawa na haya wiki iliyopita, ikiwa ni pamoja na mtu mmoja anayeaminika kupigwa risasi na polisi.
#bbcswahili #kenya #maandamano
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
17 Aug 2025
- Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
17 Aug 2025
- A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
17 Aug 2025
- Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
17 Aug 2025
- How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
17 Aug 2025
- Court battles bleed billions from public universities
17 Aug 2025
- Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
17 Aug 2025
- Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance
17 Aug 2025
- Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
17 Aug 2025
- PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen
17 Aug 2025
- Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties