Ulinzi Sharks yaipiku Nairobi Water 32-27 katika mashindano ya mpira wa mkono

  • | NTV Video
    6 views

    Ulinzi Sharks waliendeleza rekodi yao ya kutopigwa baada ya kuishinda Nairobi Water 32-27 katika pambano la kusaka uongozi wa Ligi ya Mpira wa Mkono kwa Wanawake lililochezwa katika Uwanja wa Taifa wa Nyayo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya