2 May 2026 7:50 pm | Citizen TV 256 views Duration: 1:32 Sharlene Nambengele na Elizabeth Mideva kila mmoja alifunga mabao mawili wakati Ulinzi Starlets walipoichapa Gideon Starlets mabao 5-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake iliyochezwa katika Uwanja wa Ulinzi Sports Complex.