Ulinzi wa Jaji Mkuu Martha Koome warejeshwa

  • | Citizen TV
    4,805 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amesema kuondolewa kwa walinzi wa jaji mkuu kwa muda , ni hatua ya kupisha mchakato wa kupandishwa madaraka kwa maafisa hao. Akizungumza katika kaunti ya Kwale, waziri murkomen ameeleza kuwa jaji mkuu amerejeshewa walinzi na kusikitika kuwa alitoa taarifa kwa umma bila ya kuzingatia taratibu zinazofuatwa na idara ya polisi za kuwahamisha maafisa wa usalama