Umaarufu wa Ruto waendelea kupungua huku wa Raila ukiendelea kushamiri katika eneo la Mlima-Kenya

  • | KBC Video
    Naibu rais William Ruto azidi kuwa kidedea kwa umaarufu katika kinyang’nyiro cha urais katika eneo la Mlima-Kenya. Ripoti ya kura ya maoni iliyotolewa na shirika la Mizani Africa,hata hivyo inaonyesha kwamba,umaarufu wa Ruto unaendelea kupungua huku ule wa kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ukiendelea kushamiri katika eneo la Mlima-Kenya. Wakati uo huo, IEBC imesajili takriban wapiga-kura wapya 491,000 katika kipindi cha majuma mawili yaliyopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #Darubini #MtKenyaPolitics