- 1,256 viewsDuration: 1:54Hofu imegubika wakazi wa kijiji Cha Buembu katika Eneo bunge la Suna mashariki kutokana na radi za mara kwa mara zinazoambatana na umeme hatari misimu ya mvua. Wakazi hao wanakadiria hasara ya uharibifu wa makao , kufa Kwa mifugo na ulemavu kwa baadhi ya wenyeji waliopigwa na radi. wakazi hao wanaitaka serikali kuweka milingoti na kunasa umeme wa mvua eneo hilo.