Umiliki wa ardhi ya Embolioi waibua utata

  • | KBC Video
    11 views

    Wamiliki wa ardhi ya jamii ya Embolioi, mjini Isinya, katika Kaunti Ndogo ya Kajiado Mashariki, Kaunti ya Kajiado, wanaikosoa mahakama ya Kajiado kwa madai ya kupuuza agizo la awali la Mahakama Kuu kuhusu mgogoro wa umiliki wa ardhi. Wanachama hao 300 wanasema walikuwa wamepata agizo la kusitisha shughuli lililotolewa na Jaji M. Mwangi mnamo mwezi Aprili mwaka huu, likizuia ugawaji wa ardhi hiyo , hadi kesi hiyo itakapokamilishwa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive