Umoja wa mashabiki wa West FM.

  • | West TV
    23 views
    Vikundi kadhaa vya mashabiki wa West Media chini ya redio ya West Fm vimekutana jumamosi hii katika kijiji cha misemwa kujadili maswala kadhaa kwa lengo la kuboresha vikundi hivyo kupitia miradi mbali mbali na kutaka viongozi kuwafaa