Skip to main content
Skip to main content

Umoja wa UDA na ODM

  • | Citizen TV
    673 views
    Wazee wa Jamii ya Luo Kutoka kaunti ya Kajiado wanasema wataendelea kuungaa mkono serikali ya Kenya kwanza kupitia mpango wa serikali Jumuishi maarufu broad based. Aidha wanawataka viongozi wa chama ODM kukomesha malumbano ambayo yamekuwa yakishuhudiwa ndani ya chama hicho na badala yake kuhubiri Umoja aliyokuwa akiendeleza Kinara wao Wa zamani marehemu Raila Odinga. Sasa tuungane na Robert Masai Mubashara Kutoka Kajiado.