Umuhimu wa kufahamu hali yako ya kiafya kabla ya ndoa

  • | BBC Swahili
    Kando na umri, ni mambo gani ungetaka kufahamu kutoka kwa mpenzi wako kabla ya ndoa? Shirika la Afya Duniani limependekeza kuwa sasa idadi kubwa ya wapenzi wanataka kufanyiwa uchunguzi wa vinasaba kabla ya ndoa. Tuliwauliza wapenzi wawili kutoka Kenya na Afrika Kusini maoni yao kuhusu hili. #Kenya #Maisha #bbcswahili