Umuhimu Wa Miti Kwale

  • | NTV Video
    84 views

    Baadhi ya wakulima katika kaunti ndogo za Lunga Lunga, Shimba Hills na kinango kaunti ya Kwale wamepokea mafunzo ya ukulima na umuhimu wa kupanda miti kupitia mpango wa Restore Africa ili kuhakisha kuwa wanakabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya