Umuhimu wa ziara ya rais Samia nchini Kenya

  • | BBC Swahili
    Mengi yamepangwa kujadiiwa kati ya rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. Awali tulizungumza na mchambuzi wa masuala ya Uchumi Elisha Odanga kuhusu umuhimu wa ziara hiyo na matarajio ya Wakenya kuhusu kuja kwa rais Samia.Rais wa Tanzania Samia Suluhu anazuru Kenya kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. #Kenya #Tanzania #biashara #bbcswahili