Umuhimu ya Eid ul -Adha kwa waumini wa dini ya kiislamu

  • | Citizen TV
    69 views

    Waumini wa dini ya kiislamu wanapoadhimisha sikuku ya eid ul -adha kumchinja mnyama huwa sehemu muhimu inayozingatiwa katika maadhimisho ya sikuku hii. Je ina umuhimu gani? Mwanahabari wetu bonface barasa anaarifu zaidi kutoka samburu.