UN yalaani mauaji ya zaidi ya watu 40 DRC
Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO) umelaani vikali shambulio huko Komanda, takriban kilomita 60 kusini magharibi mwa Bunia, mji mkuu wa Ituri", lililowauwa takriban watu 43 wakiwemo wanawake na watoto.
Umoja wa Mataifa na Jeshi la Congo walisema kwamba raia waliohudhuria ibada ya mkesha katika kanisa la eneo hilo walikatwa kwa mapanga, na kusababisha vifo vya watu hao.
Je hatua hii inamaanisha nini kwa usalama mashariki mwa DRC?
Jiunge na Martha Saranga saa tatu usiku katika Dira ya Dunia TV. Na pia usisahau kutembelea ukurasa wetu wa youtube wa bbcswahili ambapo unatupata mubashara.
#bbcswahili #DRC #congo
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
28 Jul 2025
- Two patients have been murdered at KNH this year.
28 Jul 2025
- Kenyans have been urged to comply with the set rules.
28 Jul 2025
- The clashes began on Monday afternoon.
29 Jul 2025
- At a time President Kenyatta was keen on blocking public servants from doing business with State, a tax dispute reveals his family business empire's links to the construction of elevated highway.
29 Jul 2025
- IMF flags Sh175b fuel levy plan over debt, transparency risks
29 Jul 2025
- Patients in peril as Baringo public health facilities reel from neglect
29 Jul 2025
- Gachagua and Kalonzo allies allege plot to assassinate them
29 Jul 2025
- KenGen's wind power project in Marsabit faces new hurdles
29 Jul 2025
- More action is needed to address growing mental health crisis
29 Jul 2025
- Prices soften as clothes stores record growth
29 Jul 2025
- Education system on the brink as slashed funding threatens free learning
29 Jul 2025
- Mob kills two suspects as wave of crime hits Kisumu
29 Jul 2025
- Ex-NHIF workers in limbo as SHA moves to advertise positions