“Unapoona pweza kwenye kazi zangu ujue anasimama kama mwanaume “

  • | BBC Swahili
    353 views
    Katika nyota wa Afrika Mashariki tunamuangazia Gadi Ramadhan ambaye ni msanii wa uchoraji anayetumia mkaa katika kazi zake. Yeye ameamua kutumia mkaa tu kuchora picha zake, Je ni kwanini amechagua mkaa? Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alikutana naye na kuandaa taarifa hii. 🎥 eagansalla_gifted_sounds_ #bbcswahili #tanzania #uchoraji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw