Unaweza kumpa maziwa ya mama mwingine mtoto wako?

  • | BBC Swahili
    439 views
    Chelimo Njoroge ni miongoni mwa wanawake wachache walio na bahati ya kutoa maziwa ya mama mengi. Ni mengi kiasi kuwa amekuwa na uwezo wa kuwapa kina mama wenzake maziwa hayo ili yawafae kwa watoto wao. Lengo la Chelimo sio tu kuwasaidia jamaa na rafiki, bali kuweza kuihimiza serikali ya Kenya kutenga sehemu inayoweza kupokea, kuyapima na kutoa maziwa kwa kina mama au familia zinazohitaji maziwa haya kwa njia salama. Saida Swaleh alikutana naye na kuandaa taarifa ifuatayo. 🎥: @Brianmala #bbcswahili #kenya #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw