UNGA: Watu wajitokeza New York kuandamana kupinga serikali ya Iran wakiituhumu kwa mauaji

  • | VOA Swahili
    339 views
    Wakati Kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikiendelea New York, makao makuu ya UN, maandamano kupinga serikali ya Iran kwa kile kinacho elezwa kuwa ni uvunjifu wa haki za binadamu yanaendelea. Iran imekuwa ikikosolewa kutoka ndani na nje ya nchi kwa madai ya mauaji ya raia wake ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa serikali. Endelea kuangalia shinikizo hili... #maandamano #serikali #iran #hakizabinadamu #mauaji #raia #voa #voaswahili #un #barazakuu #umojawamataifa - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.