Ungana nasi kwa taarifa tendeti za 'Matukio Mtambuko'

  • | TV 47
    258 views

    Baraza la wazee wa Agikuyu lamkashifu Naibu wa Rais William Ruto kwa matamshi yake kuhusu uaandishi wa habari chanya. Kupata taarifa hizi kwa kina na nyingine zaidi ungana nasi kwa taarifa tendeti za Matukio Mtambuko

    00.00 - 02.00 Siasa za Kenya Kwanza Bungoma 02.01 - 04.04 Kifo tatanishi Bungoma 04.05 - 05.55 Afueni kwa wavuvi Migori 05.56 - 07.35 Uhaba wa maji Turkana 07.36 - 10.55 Maandalizi ya uchaguzi 20.50 - 22.42 Ruto akashifiwa na baraza za wazee 22.43 - 26.00 Kinyang'anyiro cha ugavana Embu 26.01 - 28.45 Barabara mbovu Nandi 28.46 - 38.20 Maandalizi ya uchaguzi