Ungana nasi kwa taarifa tendeti za Matukio Mtambuko

  • | TV 47
    947 views

    Mgombea kiti cha ugavana kaunti ya Nairobi kwa tiketi ya Ford Kenya Cleophas Kiio, ajiondoa kinyang'anyironi na kumuunga mkono mgombea kiti hicho kwa tiketi ya UDA Johnson Sakaja. Kupata taarifa hizi kwa kina na nyingine zaidi ungana nasi kwa taarifa tendeti za Matukio Mtambuko

    00.00 - 01.10 Vidokezo 01.11 - 04.11 Kampeni za Wajackoyah Meru 04.12 - 06.40 Matiang'i amjibu Ruto 06.41 - 09.56 Maandalizi ya uchaguzi 09.57 - 13.20 Kudhibiti semi za chuki Isiolo 13.21 - 21.15 Mbinu za kushawishi wapiga kura 21.16 - 22.25 Kampeni za lala salama Nyeri 22.26 - 24.10 Nyoro apokea baraka 24.11 - 29.30 Kinyang'nyiro cha ugavana Embu 32.20 - 37.35 Rai ya Azimio Pwani 37.36 - 39.31 Kiio amuunga mkono Sakaja 39.32 - 41.08 Wosia wa wazee Ukambani 41.09 - 44.00 Uvamizi Machakos 44.01 - 46.46 Kilimo cha samaki Kisii