Ungana nasi kwa taarifa tendeti za Upeo Wa TV47

  • | TV 47
    1,933 views

    Rais Uhuru Kenyatta amtafutia uungwaji mkono kinara wa Azimio Raila Odinga kaunti ya Mombasa huku Raila akiwarai wananchi wa Kisumu wajitokeze kwa wingi kumpigia kura Jumanne wiki ijayo. Hayo yakijiri, Naibu wa Rais William Ruto na wandani wake walipeleka kampeni zao Tononoka, Mombasa. Kupata taarifa hizi kwa kina ungana nasi kwa taarifa tendeti za Upeo wa TV47.

    00.00 - 02.50 Vidokezo 02.51 - 06.12 Ruto amkashifu Uhuru 06.13 - 08.45 Tetesi za sajili ya wapigakura 08.46 - 11.25 Mavamizi kwa wanawake Nakuru 11.26 - 14.20 Uhuru ampigia debe Odinga Mombasa 14.21 - 16.10 Ziara ya Raila Kisumu 16.11 - 17.44 Vijembe vya Kenya Kwanza 17.45 - 19.30 Mwaure akashifu wapinzani 19.31 - 22.30 Masharti ya korona uchaguzini 25.00 - 26.45 Mshukiwa wa magenge kortini 26.46 - 28.40 Magoha mbioni na CBC 28.41 - 30.35 Mwanamume ahukumiwa miaka 100 30.36 - 32.26 Silaha haramu zanaswa Kerio