Ungana nasi kwa taarifa tendeti za Upeo Wa Tv47

  • | TV 47
    3,164 views

    Waziri wa usalama wa ndani Dr. Fred Matiang'i amsuta naibu wa rais William Ruto na kumtaka kukoma kueneza propaganda huku akikanusha madai kwamba machifu wanatumika katika mchakato wa uchaguzi na serikali ina mpango wa kuhitilafiana na zoezi la uchaguzi. Kupata taarifa hizi na nyingine zaidi ungana nasi kwa taarifa tendeti za Upeo Wa TV47.

    00.00 - 00.21 Maadalizi ya uchaguzi 00.22 - 03.52 Matiang'i amfokea Ruto 03.53 - 06.18 Wajackoyah atua Meru 06.19 - 07.55 Kampeni za Azimio Pwani 07.56 - 11.41 Kampeni za Kenya Kwanza 11.42 - 15.10 Kampeni za lala salama 18.05 - 20.35 Uadilifu wa IEBC 20.36 - 23.49 Wakongwe na uchaguzi 23.50 - 26.10 Vita dhidi ya ufisadi