Unyakuzi wa ardhi Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    85 views

    Kundi moja la wawakilishi wadi kutoka Kaunti ya Trans Nzoia linaitaka serikali ya kitaifa kuongeza idadi ya maafisa wa usalama ili kukabiliana na watu binafsi waliovamia na kunyakua ardhi ya serikali ya kaunti