Unyakuzi wa mashamba ya taasisi za umma wakithiri Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    64 views

    Serikali imetoa onyo kali kwa wanyakuzi wa ardhi ya umma ,katika kaunti ya Trans nzoia baada ya kugunduliwa kuwa zaidi ya ekari 200 kati ya 400 za ardhi ya taasisi ya utafiti na ubora wa mimea (KEPHIS) zimenyakuliwa