Unyanyapaa na dhana potovu zaathiri elimu ya walemavu Kilifi

  • | Citizen TV
    86 views

    Huku hazina ya kitaifa ya walemavu nchini ikiendeleza miradi katika kaunti ya Kilifi, unyanyapaa, dhana potofu na uhaba wa walimu zimetajwa kama mojawapo ya vikwazo vikuu vinavyochangia kudorora kwa elimu ya watoto hao