Unyanyapaa unavyozidi kuwakatisha tamaa wanaoishi na Virusi vya Ukimwi

  • | West TV
    32 views
    Kaunti ya vihiga iliorodheshwa miongoni mwa kaunti kumi nchini zinazoongoza katika maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi kwa aslimia 4.4 Hii leo ulimwengu unapoadhimisha siku ya ukimwi imebainika maambukizi mapya yanaoyorekodiwa katika kaunti hii aslimia kumi na moja yanatokana na mama kwa mtoto unyanyapaa miongoni mwa wanaougua ugonjwa huu katika taasisi za elimu ukitajwa kuwa kidonda sugu katika kupigana na janga hili