18 Aug 2025 10:49 am | Citizen TV 351 views Duration: 3:06 Unyanyapaa na ukosefu wa taarifa umeendelea kuwa sababu kuu za watu wengi walemavu kukosa kujisajili kwa mpango wa kuwasaidia walemavu haswa maeneo ya kaskazini mwa Kenya