Unyanyapaa wakwamisha usajili wa watu wenye ulemavu

  • | Citizen TV
    261 views

    UNYANYAPAA NA UKOSEFU WA TAARIFA UMEENDELEA KUWA SABABU KUU ZA WATU WENGI WALEMAVU KUKOSA KUJISAJILI KWA MPANGO WA KUWASAIDIA WALEMAVU HASWA MAENEO YA KASKAZINI MWA KENYA. KATIKA KIJIJI CHA URAN, KAUNTI YA MARSABIT, NI WAKAAZI WACHACHE WALEMAVU WALIOSAJILIWA HUKU WENGI WAKISALIA KUFUNGIWA MAJUMBANI