22 Aug 2025 10:41 am | Citizen TV 255 views Duration: 1:53 Ni afueni kwa wakulima wa mpunga katika kaunti ya Tana River baada ya idara ya unyunyiziaji maji mashambani kuanza mpango wa kutumia nguvu za umeme kuzalisha mchele